CableFlex 2-in-1 | Kishikilia Nyaya Mahiri chenye Stendi ya Simu Iliyojengewa Ndani

Most wasee huwa wanawatch YouTube mkono moja ikihold simu, mwingine unahangaika na cable, na shingo imebend kama wanaomba.
That ends today.

Meet cable yenye inado what hakuna cable nyingine imewahi kufanya before

Inacharge simu yako hadi 240W ⚡ fast enough kutoa simu dead hadi full in less than one hour.
Na pia inahold simu upright hands-free, viewing angle ikiwa perfect while unawatch na kucharge.
Imedesigniwa na military-grade nylon braiding pamoja na zinc alloy connectors, so haicrack, haifray, na hailegei after kutumia for one month tu.
One cable. Three jobs. Zero frustration.

Once you use it… you can’t go back to a normal cable.
Wakenya 2,347 wameshanunua wiki hii, na walilipa tu bidhaa ilipofikia mlangoni mwao.

Kebo ya kuchaji yenye stendi ya simu iliyofichwa ndani
Chaji kwa kasi huku ukitazama video, kupiga simu, au kucheza michezo - bila kushika simu

Chaji simu yako haraka huku ukitazama video - bila kushika simu mkononi

Kwa nini kebo hii?
Tofauti na kebo za kawaida - hii ina kila kitu
Kuchaji Kwa Kasi - 240W
Chaji simu yako haraka mara 6 kuliko kebo za kawaida sokoni.
Stendi Iliyofichwa Ndani
Fungua stendi - simu inasimama yenyewe. Tazama video bila kushika.
Imara Sana - Miaka Mingi
Nylon braided na viungo vya chuma. Haivunjiki wala haitachakaa haraka.
Connector ya 90°
Mkono wako huru wakati wa gaming. Haizuii grip yako kamwe.
Maelezo Ya Bidhaa





Jinsi inavyofanya kazi
Unganisha kebo
Chomeka USB-C kwa simu yako na upande mwingine kwa charger au laptop.
Fungua stendi
Bonyeza stendi iliyofichwa ndani ya kebo - inasimama yenyewe kwa sekunde moja.
Furahia
Chaji simu yako huku ukitazama video, kupiga simu za video, au kucheza michezo bila kushika simu.
BIDHAA HALISI
USAFIRISHAJI HARAKA
LIPA UKIPOKEA
